Kenya
Swahili

 


Wanainchi wa ulimwenguni wote !

Kwa ma Raïs na ma waziri wa kwanza wa ulimwengu wote ! - Kwa wakubwa wa majeshi wote, kwa ma askari, kwa ma askari polisi, mashirika na vingini vikundi, na wenginewo ulimwenguni kwote !

TIYENI SILAHA CHINI ! - TIYENI SILAHA CHINI ! - TIYENI SILAHA CHINI !

Geuzeni silaha hizo kuwa vifaa vya utafiti wa AMANI ili watoto wote wa ulimwenguni wawe na UHURU wa ku komaa bila kuwa tena na woga wa vita wala ujambazi !

ONDOSHENI SILAHA ! - MUPENDANE NYINYI KWA NYINYI ! - MUWE UMOJA !

 EnglishWorld Citizens !

All Heads and Leaders of states and governments in the world ! - Military leaders, soldiers, police, organizations, groups, and all single individuals in the world !

DISARM ! - DISARM ! - DISARM !

Beat your swords, your weapons, into another practice, for PEACE. To the children in the world, to their FREEDOM to rise with no more fear from war and violence !

DISARM ! - LOVE ! - UNITE !

 

 


 

 PUT YOUR VOICE TO THE CALL


 


ARE YOU IN ?

www.worldpeace.no